Wadau tunapaswa kuchukua maelezo kwa kina pind wenza wetu wanaponasa upregnant tusijejibiwa km huyo mdau kwa kuwaza yasiyokuwepo
Linapokuja swala la usalama hatua stahiki lazima zichukuliwe haiwezekan mtoto amefikia hatua ya kujitambua ndio unagundua sio wakoAisee; sasa hiyo inakuwa ni ndoa au jumuiya?
Linapokuja swala la usalama hatua stahiki lazima zichukuliwe haiwezekan mtoto amefikia hatua ya kujitambua ndio unagundua sio wako
Hatar sanaNope nimekuelewa; sema najiliuliza hiyo aina ya ndoa ambayo mtu yupo tu free kuzaa nje. Yaani unaoa mke, ila pia inabidi uulize kama mimba ni ya kwako au sio yako.
Jesus....!View attachment 1944558
Jesus....!View attachment 1944558