Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mke wa mtu kwa kweli hapana hata iweje...
View attachment 1944176View attachment 1944177

#KuchapiwaHakuepukiki

Sema kunao yaani tu.....mwanamke ukimtazama msambwada nje nje halafu anajileta leta unashindwa uhame mtaa au ufanye nini.....
Kitambo nikiwa kijana nilimtafuna mke wa mwenye nyumba, alikua anakuja moja kwa moja kwangu tena full minyege halafu umbo lake kama lote, ilifika sehemu nikaona hatari nikaamua kuhama pamoja na kwamba kodi niliyokua nimelipa ilikua bado muda wake haujaisha.
 
Wadau tunapaswa kuchukua maelezo kwa kina pind wenza wetu wanaponasa upregnant tusijejibiwa km huyo mdau kwa kuwaza yasiyokuwepo
Kuchukua maelezo huwa ni lazima, deep conversation about the matter ila vijana wa siku hizi ni kama wanaume tata utakuta anaogopa kuiweka issue mezani eti tu 'mkewe' atakasirika kwamba kwanini hamuamini.
Weak and pathetic.
 
IMG-20210918-WA0089.jpg
 
Nikwambie kitu mjukuu? Mitandaoni humu (na kwingineko) wewe fanya kinachokupa furaha as long as huvunji sheria na mengine yote yaache. Leo utaambiwa meme ukiziwekea maelezo zinaboa. Kesho utaambiwa maelezo kidogo ndo vichocheo kunogesha nogesha. Huwezi kumridhisha kila mtu na wengine utaishia kuwakera tu hata ufanyeje.

Moral of the story: Do what you like ali mradi huvunji sheria. Tegemea kutopendwa na baadhi ya watu...na hilo lisikuumize kichwa kabisa kwa sababu ni kawaida tu. Umenisikia?

Busara za mtu mzima, I second you bro.
 
Sema kunao yaani tu.....mwanamke ukimtazama msambwada nje nje halafu anajileta leta unashindwa uhame mtaa au ufanye nini.....
Kitambo nikiwa kijana nilimtafuna mke wa mwenye nyumba, alikua anakuja moja kwa moja kwangu tena full minyege halafu umbo lake kama lote, ilifika sehemu nikaona hatari nikaamua kuhama pamoja na kwamba kodi niliyokua nimelipa ilikua bado muda wake haujaisha.
Yeah! Tatizo wake za watu ni warahisi sana yaani akikuzoea kidogo tu basi usipojikaza utaishia kumla...na muonja asali mara nyingi huishia kuchonga mzinga. Matokeo yake ndo haya ya kuuliwa au kuwa sodomized!

Mi pia ilishanitokea nikamla mke wa jamaa tena ana mimba kubwa tu aisee. Nilijisikia vibaya sana na nikaapa kutorudia tena huo utopolo. Nilishaitubu dhambi hiyo na naamini Mungu Alishanisamehe...ila duh! Alikuwa mtamu halafu wa moto hatari
 
Back
Top Bottom