Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Halafu kila siku kulalamikia singo mazazi [emoji706][emoji706][emoji706]
2.6660299897849247E18.jpg
 
Na baharia ye yote anayekutaka lazima apite kwangu...Tena yule mpenda kuzama chumvini sijui alipotelea wapi. Nina wasiwasi naye sana. Ng'ombe 45 zitamhusu!

Uko vizuri sana mjukuu na Allah Azidi kukubariki.
View attachment 1944783
[emoji16]yule itakuwa yupo fongani,anachimba chumvi[emoji2902][emoji2902]
 
Back
Top Bottom