Kweli hata mimi niliishangaa serikali kupitia kwa Dkt Ndumbaru,yule jamaa ni Doctor lakini alishindwa kung'amua.
UnanichekaHahahaha![]()

AnkaliUnanicheka![]()
Halafu wewe khaaa!! Mbona haukunijulisha kama umemaliza kug......hahahaha

Wapemba siwajui vzuri ila hawa watanga wana tabia za ajabu ajabu sanaPemba wapo kibao na Tanga,tatizo hawataki kuolewa na mkristo tu. Hapo ndo wananikata maini. Nilimpata mmoja nikamdanganya jina,nilikua naenjoy mno,siku aligundua ndiyo siku ya mwisho kumsikia na kumuona.
Yaani alikua fiti kila idara aisee. Kasoro yake kubwa ilikua kudeka tu,ujue ile mideko mpaka inakera,ndo ilikua shida yake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Abee ankaliii,shikamooAnkali
Salaam toka kijiweni View attachment 1943097
Utakua ulikutana na watanga koko mzee,yaani Tanga na Pemba raha sana.Wapemba siwajui vzuri ila hawa watanga wana tabia za ajabu ajabu sana
Sijasahau ujue,nakuchora tu kwa mkono wa kushotoViongozi wetu wanapenda ku deal na vitu vya vyepesi sana na ni kwa sababu sio wawajibikaji basi hawataki kusemwa wanataka tukae kimya hata kama hayatupendezi, ndio maana kila siku wanahangaika na mitandao.

Hahaha.... mawardat bhanaHalafu wewe khaaa!! Mbona haukunijulisha kama umemaliza kug......![]()