Ulizidiwa[emoji28]Mbwembwe zote zile[emoji16]
Hahaha.....Hapana sikuzidiwa bhanaUlizidiwa[emoji28]Mbwembwe zote zile[emoji16]
Mie nilijua tu Matokeo lazima yawe mabovu... ungeweka simu kwenye kabati bana[emoji23].....usirudie tena utajikuta upo Bugando shauri yako.
Kwema kabisa,vipi wewe???Hahaha.....Hapana sikuzidiwa bhana
Ule mchezo hauhitaji haraka mkuu
Mimi mbili
Yeye saba
Uwanja ulikuwa mzuri na mazingira yake yalikuwa rafiki mpaka yeye kufika saba
Kikawada au kitaalamu zaidi yeye ndo anatakiwa afunge magoli mengi[emoji3]
Kwema lakini mamy
Vizuri sana kama ni kwema kabisaKwema kabisa,vipi wewe???
Namimi ndio nasubiri unitumie lakini naona kimya [emoji16][emoji16]Sijasahau ujue,nakuchora tu kwa mkono wa kushoto[emoji41]
OK,nakutumia nambaNamimi ndio nasubiri unitumie lakini naona kimya [emoji16][emoji16]
Ni kweli[emoji23],sijui ni kwanini[emoji41]
Bado tu [emoji28]OK,nakutumia namba
Ni kama unajitekenya then unashanga unacheka wewe mwenyewe [emoji23][emoji23]Nishazoea[emoji7]View attachment 1942624
Vp kuhusu aliyepost hii Post [emoji26][emoji22][emoji22][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
View attachment 1942772
Kilimo ni kamari