Basi na mie nacheka[emoji1787],tuchekeane[emoji23]Hapana rafiki nacheka[emoji23]
Marahabaa, kwema huko.Abee ankaliii,shikamoo
Huku kwema kabisa[emoji120]Marahabaa, kwema huko.
Vipi mafua makali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanakosa umakini[emoji23]
Jiweke mbali na vitu vinavyokuletea mzioHuku kwema kabisa[emoji120]
Mafua natumia dawa,namshukuru Allah yamepoa[emoji120]
Nashukuru,najiweka mbali,huku kwetu vumbi sana yaani daahJiweke mbali na vitu vinavyokuletea mzio
Vaa barakoaNashukuru,najiweka mbali,huku kwetu vumbi sana yaani daah
Wacha tu nihamie dar kwa babu[emoji3]
NavaagaVaa barakoa
Hahahaha.... mawardat bhanaNilisubiri,uniambie kama ulishinda ngapi[emoji41]