hahahahaChumvi ya madongeView attachment 1942935
Weee,awe mzuri aisee!!!Kwa hyo we mwanangu hata kama demu ana sura ya babake,, ili mradi anajua kupika fresh au sio
Hv wanawake wa hv wapo kweli mzee?? Yaan mwanamke ambaye sura nzuri, anapika vzuri, ana heshma,,ktandani yupo vzur. Mana ukikuta anajua kupika basi sura ya babake,,,ukute ana sura na umbo zuri bas hajui kupika,,, yaani tafran knoma mzeeWeee,awe mzuri aisee!!!
Sura nzuri,chakula kizuri,umbo zuri,tabia nzuri,kitandani awe vizuri,ili niwe mjinga wake jumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pemba wapo kibao na Tanga,tatizo hawataki kuolewa na mkristo tu. Hapo ndo wananikata maini. Nilimpata mmoja nikamdanganya jina,nilikua naenjoy mno,siku aligundua ndiyo siku ya mwisho kumsikia na kumuona.Hv wanawake wa hv wapo kweli mzee?? Yaan mwanamke ambaye sura nzuri, anapika vzuri, ana heshma,,ktandani yupo vzur. Mana ukikuta anajua kupika basi sura ya babake,,,ukute ana sura na umbo zuri bas hajui kupika,,, yaani tafran knoma mzee