Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382



2025 mpaka 2045 mama atawale!Ongeza sautiView attachment 1942892
Babu,nimeamka kwaajili ya ibada,Saa 11 hii halafu wikiendi mjukuu tayari ushaamka unagawa likes. Mafua yamekuachia? Rudi usingizini mpaka angalau saa 2 hivi....

Afadhali. Ubarikiwe !!!Babu,nimeamka kwaajili ya ibada,
Hapa navuta shuka hadi saa nne,nautafuta usingizi tu hapa![]()
Sasa ukiumbwa itakuwaje?2025 mpaka 2045 mama atawale!
Sukuma ndani! (in Mwanri's voice - the former RC for Tabora region)Sasa ukiumbwa itakuwaje?
Hatua gani zitachukuliwa??