Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Endelea....
FB_IMG_16317761763013597.jpg
 
Babu shikamoo

Vumbi,harufu ya mafuta makali,baridi la asubuhi likinipiga tu shida,

Mazingira,hali ya hewa ya huku nilipo si rafiki kwangu,inanitesa

Ukimwi sina[emoji16]

Kila nikiamka napata mchanganyiko wa limao,tangawizi,mdalasini na karafuu nakunywa[emoji28],

Nahitaji dawa [emoji120][emoji120]
Basi definitely una mzio (allergy). Ukienda hospitali utapewa dawa.
 
Back
Top Bottom