Basi definitely una mzio (allergy). Ukienda hospitali utapewa dawa.
,kuna Dr,msukuma kaniambia atanipa dawa.Kuna jamaa toka nyanda za juu kusini aliwahi sema ameishi na girlfriend wake miezi 4 bila kujua kama jamaa ana govi.Kaoneshwa kwenye video pengine


Nahisi ninaminyoo,maana situmii
Nunua machungwa kamua juice yake kunywa kwa wingi

Siyo kweli, mapenzi rafiki yake ni sex.


Ahsante babuDawa hizi hapa tena ziko on sale. Chagua moja nikutumie. Hiyo Allegra mimi ndiyo hutumia. Running nose (mafua), watery eyes, sore throat, coughing inazima mara moja. Na unakunywa kakidonge kamoja tu for 24 hrs. Nitatupiamo na Allegra D kama Allegra ya kawaida itaelemewa.
Ukienda hospitali utapata pia dawa kwa sababu hizi pia zinauzwa kwenye maduka ya dawa.
View attachment 1940974
babu umemuona??Ushapima uviko 19?Jamani,mwenzenu mbona siponi mafua, kila baada ya wiki lazima nipatwe na mafua tena makali haswaa,
Mafua yananitesa Sana,shida nini??
Mwenye kujua dawa![]()
Khaaa!!!!,siyo kweliSiyo kweli, mapenzi rafiki yake ni sex.
Kumaliza wiki bila sex itabidi mkapimwe![]()
Uviko sina bana,Ushapima uviko 19?
Hii hata Tanzania inafaa,Hii ikija kwetu itatufaa?!View attachment 1940949