Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jamani,mwenzenu mbona siponi mafua, kila baada ya wiki lazima nipatwe na mafua tena makali haswaa,

Mafua yananitesa Sana,shida nini??

Mwenye kujua dawa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kapime mzio (allergy)...

Kapime UKIMWI na magonjwa mengine yanayoweza kudhoofisha kinga yako ya mwili. Fanya comprehensive physical exam.

Badili mfumo wa maisha yako. Vimazoezi vyepesi vinaweza kusaidia. Na kunywa maji ya uvuguvugu.

Tumia supplements za kuimarisha kinga ya mwili - vitamin C, Zinc...

Njoo unione kwa ushauri zaidi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Screenshot_20210916-090432_Instagram.jpg
 
Kapime mzio (allergy)...

Kapime UKIMWI na magonjwa mengine yanayoweza kudhoofisha kinga yako ya mwili. Fanya comprehensive physical exam.

Badili mfumo wa maisha yako. Vimazoezi vyepesi vinaweza kusaidia. Na kunywa maji ya uvuguvugu.

Tumia supplements za kuimarisha kinga ya mwili - vitamin C, Zinc...

Njoo unione kwa ushauri zaidi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Babu shikamoo

Vumbi,harufu ya mafuta makali,baridi la asubuhi likinipiga tu shida,

Mazingira,hali ya hewa ya huku nilipo si rafiki kwangu,inanitesa

Ukimwi sina[emoji16]

Kila nikiamka napata mchanganyiko wa limao,tangawizi,mdalasini na karafuu nakunywa[emoji28],

Nahitaji dawa [emoji120][emoji120]
 
Hana
 
Back
Top Bottom