minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,750
- 4,948
Mluhya ugali na kuku hatari! Wale Maragoli wanapenda chaiHamuonewi maana nimeishi na nyie kipindi nilikua nafanya mradi fulani hospitali ya Bugando, mnaendana na Waluhya yaani ile balaa, ukitaka ugomvi na Mluhya leta mzaha kwenye ugali. Ni mashemeji zangu huku.