MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,480
- 53,342
Wasukuma sisi huku tunaonewa tu mkuu
Ila kwenye kupenda ugali...na ushamba kidogo ni kweli![]()
Hamuonewi maana nimeishi na nyie kipindi nilikua nafanya mradi fulani hospitali ya Bugando, mnaendana na Waluhya yaani ile balaa, ukitaka ugomvi na Mluhya leta mzaha kwenye ugali. Ni mashemeji zangu huku.









