Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Dalil za mkwamo unatoa ahad ambazo mwenyewe unazishangaa
Dalil za mkwamo unatoa ahad ambazo mwenyewe unazishangaa
Na akikosa msaada kutokana na ww kugomea wito wa msaada madhara yake utashindwa kutumiwa na ya kutolea+tozoSiku nyingine mtaumwa serious hadi mkose msaada, na hatutokuja![]()
Fursa hio kwa JWTZ,tunaomba wasituangusheBaada jeshi kuchukua mamlaka ya kuongoza nchi ya Guinea Conakry, wanajeshi wa nchi hiyo kila wakionekana mitaani wanashangiliwa na warembo wanawamwagia mabusu.
View attachment 1928522

Tunawajua. Mna huruma sana. Tukiwalilia mtakuja tu. Mungu Aliwapa moyo mwema ajabuSiku nyingine mtaumwa serious hadi mkose msaada, na hatutokuja![]()

Na akikosa msaada kutokana na ww kugomea wito wa msaada madhara yake utashindwa kutumiwa na ya kutolea+tozo
Lete birthday date mtumishi acha maswali. Kwema lakini huko Uyole? Msimu wa maparachichi bado au huko huwa hayana msimu?Na wewe unataka siku ya besidei yangu ndiyo unipost?


Tunawajua. Mna huruma sana. Tukiwalilia mtakuja tu. Mungu Aliwapa moyo mwema ajabu![]()

.Lete birthday date mtumishi acha maswali. Kwema lakini huko Uyole? Msimu wa maparachichi bado au huko huwa hayana msimu?![]()
Mambo ndo hayo sasa Mtumishi. Tegemea kapu la maparachichi na mazagazaga mengine kibao. Halafu yangu ni December 12. Kama vipi tufanye sherehe moja tu mtumishi mwema. Unasemaje?21st December; na usinitumie zawadi sasa na kunipost mnyaki.
Huku kwema kabisa, tunamshukuru Mungu. Maparachichi huwa yapo tu; hapo msimu wake yanagurika zaidi. Hapa kwangu nina miti kadhaa, utakula na ugali hadi usahau samaki