[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo labda nije nikusaidie kupiga story na kula maparachichi, wakati unaendelea na kazi.
Afu hapo nje mbona pazuri hivyo Mtumishi; tufanyie tu besidei party yetu hapohapo[emoji126][emoji126]
Sawasawa mtumishi mwema. Birthday tutafanyia huku nyuma. Kuna ka jacuzzi ka Kisukuma hivi katatutosha. Mungu Atutunze mpaka hiyo Desemba 21 basi ikimpendeza. Asante sana....[emoji1545][emoji1545]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kama ni mimi namlima taraka siku hiyo hiyo. Siwezi kuvumilia unafiki wa hivi kamwe! [emoji16][emoji16]
View attachment 1929511
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1929376
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1929345
Waluhya nawakubali aisee, maana wanacheza sana mpira kama walivyo majirani zao wajaruoYaani sifa za Wasukuma na Waluhya wa huku kwetu zinaendana neno kwa neno.....