Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mambo ndo hayo sasa Mtumishi. Tegemea kapu la maparachichi na mazagazaga mengine kibao. Halafu yangu ni December 12. Kama vipi tufanye sherehe moja tu mtumishi mwema. Unasemaje?
Sawa Mtumishi mwema. Njoo sasa unisaidie kukata majani angalau. Maparachichi yapo (na vingine vyote uvipendavyo)! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]Eeh tufanye moja tu on 21st, them tunaendelea na Christmas na Mwaka mpya
Hapo labda nije nikusaidie kupiga story na kula maparachichi, wakati unaendelea na kazi.Sawa Mtumishi mwema. Njoo sasa unisaidie kukata majani angalau. Maparachichi yapo (na vingine vyote uvipendavyo)! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]
View attachment 1929471
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]