moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,208
Hahahaha.Fanya kama unajaribu uone![]()
Wasubiri wapenda fursa wanakuja
Hahahaha.Fanya kama unajaribu uone![]()
Tatizo tozo mnamaWanabodi
Kijana mmoja alipost FB nina shida ya elf10 mtu yeyote aliye nayo ninamuomba anisaidie binti 1 akamfuata inbox wakachat bint akamtumia yule kijana hiyo elf 10 kumbe kijana alikuwa ni tajili alifanya hivyo ili kumtafuta mtu mwema yule kijana akamtafuta bint akamzawadia gari mpya na nyumba ya kisasa na milioni 50 na akamuajili kuwa msaidizi wake wa biashara ili kufupisha stori nina shida na elfu 10 mtu yeyote alie nayo ninamuomba anisaidie...![]()
Labda kina vifaa ghali vya kiintelijensia humo ndani, choo kilichonakshiwa dhababu, kioo kisichovunjika, sounds system kali...
Wasukuma sisi huku tunaonewa tu mkuuYaani sifa za Wasukuma na Waluhya wa huku kwetu zinaendana neno kwa neno.....






One man down for real.One man down, I repeat one man down. Alpha do you copy?
View attachment 1928654
.Supu ya pweza
View attachment 1928647