Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwana kuyatafuta.....

Kushoto sura halisi, kulia baada ya operesheni kadhaa ya kuchangamsha muonekano wake.


FB_IMG_1631074202236.jpg
 
Fikra zetu masikini. Bado tunajivuna eti tunakopesheka. Na utajiri wetu wote Mungu Aliotupa...

Ila mifumo hii ya kiuchumi aliyeisuka alikuwa jiniazi aisee. Na kiongozi wa Kiafrika akijitia kimbelembele kujaribu kukinzana na mifumo hii ya wakubwa hatachukua raundi anauliwa. There is no hope for Africa
Mbona mataifa mengine ya Africa wana mijadara ya kitaifa kuhusu mustakabali wa nchi zao kwa miaka 10,20,50 na tunaona hatua zinapigwa?!
Kwanini sisi hakuna vitu vinavyoweza kutuleta pamoja kama watanzania na kuongea lugha moja kwa maendeleo ya vizazi vijavyo?!
Hivi waarabu wamewezaje kujiinua kiuchumi pamoja na kukosa raslimali tulizonazo Africa?! Kuna wakati natamani siku zirudi nyuma "Jiwe" awe hai,naamini kuna nati zetu zimelegea mahali.
IMG-20210908-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom