
Aaaa, hahahahaWanabodi
Kijana mmoja alipost FB nina shida ya elf10 mtu yeyote aliye nayo ninamuomba anisaidie binti 1 akamfuata inbox wakachat bint akamtumia yule kijana hiyo elf 10 kumbe kijana alikuwa ni tajili alifanya hivyo ili kumtafuta mtu mwema yule kijana akamtafuta bint akamzawadia gari mpya na nyumba ya kisasa na milioni 50 na akamuajili kuwa msaidizi wake wa biashara ili kufupisha stori nina shida na elfu 10 mtu yeyote alie nayo ninamuomba anisaidie...![]()







Baada ya SMS kuandikwa kuna mwamba ambaye wapo wote anaonyeshwa alafu unatumiwa ww
sio kwamba hali ngumu

