Rasputin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2018
- 557
- 692
Mme wa gwajigirl [emoji23][emoji23]
Hawa watakuwa wana jangwani washatengeneza nongwa [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu mtu alikuwa anafuaje mpaka itatuke hivyo[emoji16]
Duh pole bossHawana huo muda aisee. Utajikuta tu unajaribu kulog in unashindwa. Ndo imetoka hiyo [emoji16]
Mkuu unataka kuniambia tangu mwaka 2014 hujawahi kulimwa ban? Hamia jukwaa la siasa kwa siku mbili tu na ukashiriki kwenye mihemko ya huko halafu uje ulete mrejesho...
Nashukuru kwa somoTasfida mkuu ingependeza zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1925577
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kichapo kilikuwa kwa wengi! Waswahel wanasema kifo cha wengi harusi...;Hapana Moderator wa juzi alikuwa mkali, maana alifyeka kila kitu kilichokuwa mbele pamoja na post zote mpaka Jukwaa likabaki na bumbuwazi yaani halikunoga tena
km SHIMBA YA BUYENZE alimshauri member mmoja kuwa picha anazoziweka zinafanana na za mshana mara tukaona BANNED
Tunashukuru km mmerudishwa tunawaachieni usukani wenu Jukwaa lilipoa, sisi wengine Siasa hatuwezi tutalambwa BAN kila siku
Huyu mod angepata urais huyu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Mkuu pole na Kisanga ulichokutana nacho
Nadhani masaa 24, wewe na Mzee SYB mkapotezwa.
Poleni[emoji120]
Hizi za dizaini hii sipost tena. [emoji1550][emoji1550][emoji1550]Ni katika harakati za kutest mitambo baada ya chanjo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1925368View attachment 1925369