Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1630868176974.jpg
 
Hapana Moderator wa juzi alikuwa mkali, maana alifyeka kila kitu kilichokuwa mbele pamoja na post zote mpaka Jukwaa likabaki na bumbuwazi yaani halikunoga tena
km SHIMBA YA BUYENZE alimshauri member mmoja kuwa picha anazoziweka zinafanana na za mshana mara tukaona BANNED
Tunashukuru km mmerudishwa tunawaachieni usukani wenu Jukwaa lilipoa, sisi wengine Siasa hatuwezi tutalambwa BAN kila siku
Asante mkuu. Wengine JF ndo kijiweni tunakuja kuburudika na mambo siyo siriazi kivile. Ile yule mod wa juzi nimemvulia kofia. Niko JF tangu 2014 na hii ya juzi ilikuwa ban yangu ya pili; na kosa lenyewe mpaka sasa silijui. Ban ya kwanza niliipatia kule Jukwaa la Siasa wakati wa uchaguzi 2015 na nikapakimbia mazima yaani. Wakiendelea kupita na hapa kijiweni kwetu kugawa ban itabidi tu kupumzika mazima aisee...
 
Hivi huwa kuna kuwa na onyo kama mtu amekosea kabla ya ban?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom