Huyu mtu alikuwa anafuaje mpaka itatuke hivyoMliambiwa msizifue...mkaona jamaa hawapendi kumbe anawapenda kuliko mnavyojipenda...View attachment 1924976

Aisee, mimi ni shuhuda,
Nugaz kama Nugaz hawezi kuandika Kiswahili kibovu kama hicho, itakuwa kuna chokoraa anawapambanisha.
'Inasemekana' kunafukuta moshi, habari zisizo na uhakika ni kuwa wajanja(Mwamedi na Fredi) wamewaingiza wenzao chaka.
Vutana vutana wakati wanagombania jeziHuyu mtu alikuwa anafuaje mpaka itatuke hivyo![]()
Mtateseka sana mwaka huu..Yanga mtateseka mno'Inasemekana' kunafukuta moshi, habari zisizo na uhakika ni kuwa wajanja(Mwamedi na Fredi) wamewaingiza wenzao chaka.
Just hearsay blah blahs.