Njoo nikutie mimba
Masikini weee tayari wahuni wameshapita naye
Ulitegemea iwe ya muda mrefu? UshindweeeeeHaha huyo mod anaonekana mkali sana.
Umerejea? Kumbe walikupa ban ndogo tu



Hakuna namna,Nugaz kama Nugaz hawezi kuandika Kiswahili kibovu kama hicho, itakuwa kuna chokoraa anawapambanisha.
Tusubiri tuone movie litaenda vipi.
Hapa kwetu mnhLuteni Kanali Mamady Doumbouya aidhibiti GuineaView attachment 1925362
Mkuu pole na Kisanga ulichokutana nacho





Bado sisi, bado sisi,bado sisi. Wenzetu West Africa hawapendagi ubwegeKituko cha mtandaoni huko Guinea. Wanajeshi wamefanya yao. Alpha Condé - kiongozi wa upinzani aliyeingia kwa mbwembwe akijigamba kuleta mabadiliko. Badala yake ikawa ni utopolo tu akaishia kujiongezea mihula ya uongozi kwa kukiuka katiba...
Viongozi wa Afrika kwa kupenda madaraka dah!
View attachment 1925324
Vijana wamemuweka mtu mzima kati
View attachment 1925325
Huyu Colonel ndiyo katwaa madaraka...
View attachment 1925327View attachment 1925326
Ule ushamba wa Meko unaendelea.
Hapa wanafagilishwa barabara na Ali Hapi,shame.