Tumia lugha sahihi bana,wale ni Wananchi sio watu wa kuzimu.Watu wa kuzimu hawakai kwenye jezi.
Imetoka iyoHii shoo imeshaanza?View attachment 1922426
[emoji16][emoji16]few minutes ago nilimuoma online, nimezunguka zunguka kidogo nakuta hatunae tena
Mods wamepita nae🙌🙌[emoji16][emoji16]few minutes ago nilimuoma online, nimezunguka zunguka kidogo nakuta hatunae tena
Hatari naona Mshana ni still picha ya mashabiki wa Yanga mdogo wake Mama J
Hawa jamaa mbona wakikutana huwa wanacheka sana halafu si ni mahasimu wa kisiasa?au mmoja hao ndio mchekeshaji?Rolls-Royce tena jipya siyo kama la Dayamondi [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1922166