Sema huyu maza anaonekana proooNimefika episode 2. Mwenye episode 3 msaada wa connection please!
View attachment 1919800View attachment 1919801


Na huku kuna Gwajima anatoa dozi kila Jumapili. Huku Madilu anataka kuanzisha tozo kwenye mitandao. Huku popoma mwingine analazimisha eti Masihi alikuwa na mke...Yaani Bongo hakuna kupumua ni kampa kampa unaambiwa...
We acha tu...sipati picha familia yake, bothers ndo walikuwa washkaj zangu.Familia ya wafia dini ya kiislam haswa..Yani 100%Huwa najiwazia akina dada walivyo sweet vile halafu unakuta mtu ndio vile anafanya hiyo michezo huwa namsikitikia sana, ila najisemeaga tu ni bahati mbaya tu ilimtokea akawa hivyo naamini laiti ingewezekana kurudisha siku nyuma ukabadili baadhi ya vitu ulivyokosea kwenye maisha yako basi hawa jamaa wengi wangebadili, kuwa mwanaume kamili ni sifa aiseee.
Huwa siwacheki maana najua inaweza kutokea kwenye familia yoyote ile!
Kazi kazi wananchiView attachment 1919776
Mi nikikuita unaitika "wozap" kumbe ukiitwa na wengine unaitika kwa heshima namna hii? Noti fea sis. Hooovyooo !!!






Ukute hapo walikuwa kwenye story za kishkaji tu. Hata rais anahitaji muda wa kujamiiana.
Na huku kuna Gwajima anatoa dozi kila Jumapili. Huku Madilu anataka kuanzisha tozo kwenye mitandao. Huku popoma mwingine analazimisha eti Masihi alikuwa na mke...Yaani Bongo hakuna kupumua ni kampa kampa unaambiwa...

nahisi ndio maana taifa letu linakwama maana vitimbwi haviishi, sio kwa viongozi wala wananchi wa kawaida!Mwenyezi Mungu amfumbue macho amtoe hukoWe acha tu...sipati picha familia yake, bothers ndo walikuwa washkaj zangu.Familia ya wafia dini ya kiislam haswa..Yani 100%
Ingekuwa North Korea kwa bwana Kim huyu angeshakuwa marehemu
