T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,085
- 30,472
Moto haujawaka/washwa mbwa yupo kwenye mafiga/majivu[emoji3]
EspyMtuacheee!
Hana tackleYaan najiulizaga,demu wa kawaida anakuwaje???
Abee Ely! Za siku mingi?
Fact.Hahahaha
Haha basi nae ni walewale wanaoita corona cooona
Huwa najiwazia akina dada walivyo sweet vile halafu unakuta mtu ndio vile anafanya hiyo michezo huwa namsikitikia sana, ila najisemeaga tu ni bahati mbaya tu ilimtokea akawa hivyo naamini laiti ingewezekana kurudisha siku nyuma ukabadili baadhi ya vitu ulivyokosea kwenye maisha yako basi hawa jamaa wengi wangebadili, kuwa mwanaume kamili ni sifa aiseee.Baada mda mrefu kupita juzi nilipata ku chat na dogo mmoja nilikutana na kujuana nae nchi fulani hapa East Africa.
Alipata chance ya kwenda [emoji1258] miaka 7 iliyopita akiwa kama 16-17 hivi,dogo aliondoka akiwa mzima kabisa lkn kwasasa ndo ivyo anapakuliwa kama unavyoona hapo akinichana live,nimesikitika sana[emoji24]...
Anakuja bongo soon kutokea U.S.A unapendaga kufumua mitaro nikupe connection,sio Mtanzania.View attachment 1920323