Wana mikwara hao, bora sisi last born huwa tunachangamsha nyumba



Mimi wa Tandika unitoe Tandika nije Sokota wakati Tandika hivi vitu vya kumwaga!!Wana TMK tukutane kwa Sokota jioniView attachment 1916448



Tuvae sisi uteseke wewe kweli!! Ngosha unakwama wapi?