Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Kama kawaida ni kufurahisha baraza tu na kuondoa siteresi![]()






yaani hapo nikukamatia fursa fasta, unaenda kufukua mtaro vizuri kabisaDuh! Sasa wale wahuni mafirauni si watampga maji na kumzibua mtaro



Angekumiminia shaba...Kwahiyo mkuu umetuona sisi Azam ni sawa na Yanga utopolo? Yanga na Simba akili zao zinafanana sisi Azam tunawaza maendeleo zaidi.Mimi huku hasidi wa Gor Mahia, siwapendi maana wakishnda huwa hakukaliki kwa kejeli zao, kama wana SImba tu ambao walikua wanasababisha Dar hakukaliki kila wakishinda hehehehe!!!
Hivi huyo Manara mbona walmpokea Yanga na alivyokua hovyo kwa kejeli zake dhidi ya Yanga, bora angekwenda Azam au kwingine.
