Kwani hujawahi kusafiri kufuata mbususu? Mimi nilikaribia kuanguka na ndege aisee. Yaani nikawa nafikiria sasa hii ndege ikianguka hapa, nitakwenda kusema nini mbinguni jamani? Yaani dhoruba mvua zinanyesha giza tupu radi zinapiga ndege inatikisika hatari halafu sasa rubani mwanamke maweee!
Tulipotua nikalikuta jimama linanisubiri na maua dah sekeseke lote likasahaulika! Nililirarua siku ile kwa hasira mpaka likasema kulikoni? Nilipolisimulia mkasa mzima likanihurumia tu yaani...na kunipenda zaidi. Po pote ulipo Charlotte; I salute you

