Halafu katinda nywele[emoji849]View attachment 1914815
Na hereni kavaaHalafu katinda nywele
Nshomile kwa majigambo ni noma [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu na mihereni yake huyu usikute mabaharia wanampelekea moto ohooo![emoji849]View attachment 1914815
Tena natilia mkazo kabisa, kuvaa zile nguo ni ushamba uliotukuka!! Waachieni tu wavae wanajua wao walivyosota kuzivaa na ndio mavazi yao ya kikazi, sisi wwngine tunakwenda kazini na tuna chaguo la mavazi mbali mbali! [emoji1474][emoji16]Angekumiminia shaba...
View attachment 1914768
Kwakweli nipo tu Tanzania [emoji23][emoji3061][emoji3061]View attachment 1914802