Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwani mtaani kwao hamna?
Tena inatakiwa akifika azimiwe simu kabisa.
Huu ni ufala. Kula vitu vipo surrounding,na hiyo ndo mazingira....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujawahi kusafiri kufuata mbususu? Mimi nilikaribia kuanguka na ndege aisee. Yaani nikawa nafikiria sasa hii ndege ikianguka hapa, nitakwenda kusema nini mbinguni jamani? Yaani dhoruba mvua zinanyesha giza tupu radi zinapiga ndege inatikisika hatari halafu sasa rubani mwanamke maweee!

Tulipotua nikalikuta jimama linanisubiri na maua dah sekeseke lote likasahaulika! Nililirarua siku ile kwa hasira mpaka likasema kulikoni? Nilipolisimulia mkasa mzima likanihurumia tu yaani...na kunipenda zaidi. Po pote ulipo Charlotte; I salute you
 
pole sana aisee. Ila mimi sinaga tabia ya kuzifuata. Aje yeye,hataki,apite hivi. Labda wewe uliweza coz huyo ni mpenzi wako,mie nilikulaga za uso mwaka 2004,tangu hapo sinaga mpenzi.
Penye shimo naweka mti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20210727_133410.jpg
 
Back
Top Bottom