Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,242
Na hapo ukute kilichokuwa kinawapeleka mbio wala siyo ile kodi ya serikali.Kukimbizana na mtu ambaye hajawaibia wao, wivu umewapeleka kuzimu.
Matozo yote Tz wanaofanya magendo ni mbinu mojawapo ya kupunguza tozo, kwanza pesa zenyewe serikali inazitumia kwa luxuries ya viongozi wa juu.
Kukimbizana na mtu ambaye hajawaibia wao, wivu umewapeleka kuzimu.
Matozo yote Tz wanaofanya magendo ni mbinu mojawapo ya kupunguza tozo, kwanza pesa zenyewe serikali inazitumia kwa luxuries ya viongozi wa juu.
Ukiwa kama daktari mjibu Msukuma

Ndiyo maana Sitaruhusu mwanangu aishi na baba wa kambo.Mara nyingi ni chakula. Trust me. Nimehangaika na vimbaumbau kwa muda mrefu.

Blow job

?

Exactly, ndivyo inavyokuwaga.Na hapo ukute kilichokuwa kinawapeleka mbio wala siyo ile kodi ya serikali.
Yaweza kuwa rushwa tu