Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,867
- 19,648
Jamaa kadata
Jamaa kadata
Mtajiju, ndo mana mademu wanakuwa na michepuko kama yote.
We una mingapi mkuu wangu?[emoji23][emoji2089][emoji2089]Mtajiju, ndo mana mademu wanakuwa na michepuko kama yote.
Kachanganyikiwa[emoji23][emoji23]Jamaa kadata
Kigogo sasa hana jipya[emoji23][emoji23]Kigogo 2014 siku hizi amekuwa baharia. Upepo unapoelekea nae anaelekea huko huko
Haijaungua, ilipigwa pigwa na roli ikasagika kama chapati ya maji..iliungua moto
Warithi wanaunguza hela kwenye bia kabuli lako hawalijali.
Kweli hiyo, hakuna photoshop hapo[emoji23]Hivi hii ni kweli au Photoshop?
Ogopa hela aisee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi Team Gwaji boy na team Gwaji girl.Kituko cha Dunia kwa sasa:
1. Waliochanjwa wanasubiri wasiochanjwa wafe,
2. Wasiochanjwa wanasubiri waliochanjwa wafe
Mtaniambia au mtawaambi[emoji276][emoji276][emoji276]
Ila Yanga nao wana moyo jamani khaaa[emoji16][emoji16]View attachment 1906818