Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1629830457250.jpg
 
Sio kidogo mkuu,matusi yote yale wanapataje nguvu kumpokea?! Nilikuwa namuangalia manara kwenye kideo hata yeye mwenyewe anajionea aibu moyoni [emoji23][emoji23]. "Eti Yanga and bla bla..." Subiri tukutane nao tena tuwachape halafu tuone atasemaje
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
2.6476023989719567E18.jpg
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
View attachment 1906992
Kuna clip inatembea huko whatsapp ya muda kidogo manara alikuwa anahojiwa na times fm, anaulizwa kama akipewa mzigo wa kutosha atahamia yanga, anakataa anasema "over my dead body" hata apewe pesa zote benk kuu hawezi kwenda yanga, leo kiko wapi[emoji23][emoji23]
 
Kwa mwongeaji kama yule nadhani hata hakumbuki aliwahi kusema nini. Sawa tu na wanasiasa wetu
 
Back
Top Bottom