Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Eti eeh¡!¡
FB_IMG_16296055226926762.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ulivyonishushua!!! Ukiibukia kwangu nakumwagia maji ya ukoko wa ugali, halafu nakimbia.

Hakuna furushi la kike, ukiona unamuona mwanamke haeleweki basi tazama wanaume wanaomzunguka, iwe kaka,baba,mume,mpenzi,rafiki nk[emoji12]
Hivi mwanamke anakuwaje furushi jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Nimekuelewa. Wanawake kwa ubishi dah! [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom