Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,730
- 6,999
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulivyojitetea sasa!! Halafu mbona kama umepanik SYB[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Lakini bado tunarudi kule kulekule, furushi ni furushi tu hata angekuwa na mwanamke wa aina gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukitajwa wewe mjukuu itakuwaje? Nataka nile mahari kisha nione vitukuu miyeMtaje[emoji41]View attachment 1903591
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipaniki kwako wewe mtani wangu wa miaka na miaka humu? We ukiniudhi si nakuibukia tu kwako nakupa za uso na mipasho ya Kisukuma yanaisha bana?
Kuna maana yangu kusema hayo yote...na labda nikuulize. Kuna mafurushi ya kike pia au mafurushi ni ya kiume tu?
Mdada tena[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mtaje[emoji41]View attachment 1903591
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahati mbaya tu uwe shabiki wa arsenal,ndio utatamani update taarifa yoyote ya msiba ili ukapunguzie machungu kwa machoziiView attachment 1903594
Yewooomi[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1903589
Hawawezi nitaja[emoji16]wanakuogopa babu[emoji2902][emoji2902]Ukitajwa wewe mjukuu itakuwaje? Nataka nile mahari kisha nione vitukuu miye