CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Wacha kujikosha basi[emoji16][emoji16] wanawake mlivyokuwa mabahili kwenye pesa zenu, labda nae alikuomba pesa ya vocha tu angekuwa na shida hata ya 50k bila shaka ungechomoa betriKuna......nilikuwa simuombi vocha yaani kazi yangu kusema tu mwezi unaisha bando[emoji3],ananiunga[emoji3]
Sasa kuna siku akaniambia leo sina pesa na ninashida mawardat,naomba unisaidie kiasi fulani,nikashangaa maana mtu mzito[emoji16]
Nilimtumia....akanambia kwakweli sina shida,nilikuwa nakupima tu,huu ni mtihani nilitaka kujua upoje[emoji1787]akanambia nitakurudishia pesa yako,nikamwambia hapana baki nayo,
Sasa we muombe kiasi unajua anauwezo nacho,ata vocha atakupa au la??
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo kwenye jumuiya ndio umegusa penyewe kabisa [emoji28][emoji28]
Ndiyo maana hutakuja kutajirika[emoji23]Kufuru[emoji41]View attachment 1898991
Dhaaaaaaa kwakweli wanaume MunguHivi haya maisha wanaume nguvu za kuitindua used tunatoa wapi?
-Kodi ya nyumba
-Umeme na maji
-Ada za watoto
-Chakula daily
-Mavazi ya watoto
-Umtunze mke
-Majukumu ya wazazi na ndugu zako
-Miamala mbalimbali
-zaka na sadaka makanisani/misikitini
-matibabu ya familia
- manyanyaso ya boss
- bado unatakiwa kujenga
Nk, nk, nk,......
Mungu aturehemu wanaume wote wawajibikaji. It's not easy to be a man.
usinitanie[emoji23],Sasa unafikiri aliomba 1000??Wacha kujikosha basi[emoji16][emoji16] wanawake mlivyokuwa mabahili kwenye pesa zenu, labda nae alikuomba pesa ya vocha tu angekuwa na shida hata ya 50k bila shaka ungechomoa betri
Kumbe walimvua[emoji23][emoji23][emoji125] View attachment 1898767
Hapo jamaa aliomba pesa ya vocha tu[emoji16][emoji16]. Mwanamke akikupa hata 10k basi ataongea mwaka mzima kila mkipishana kidogo atakumbushiausinitanie[emoji23],Sasa unafikiri aliomba 1000??
Bora angeondoka na godoro, ameondoka na kipande cha nyama ya moyo wanguPole kwakuachwa,kwani kaondoka na godoro au??
.
Silalagi mida ya wanga[emoji16]
Karogwa huyu[emoji1787][emoji1787]
Unaambiwa kutoa ni moyo[emoji173],mtu ukiwa na moyo wa utoaji,kusaidia inapendeza sana,Hapo jamaa aliomba pesa ya vocha tu[emoji16][emoji16]. Mwanamke akikupa hata 10k basi ataongea mwaka mzima kila mkipishana kidogo atakumbushia
Kaenda kukipikia supu,usijali ikiiva utaletewa uinywe[emoji23]Bora angeondoka na godoro, ameondoka na kipande cha nyama ya moyo wangu
Hahaha hahahaha a haha a wawa a[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GoT vs GwajiboyView attachment 1899206