Kumbe[emoji3]
Ooooh,safi sana dogo[emoji3],
Mungu ajaalie one day tuonane dadaangu!!!Ooooh,safi sana dogo[emoji3],
Usijali,kikubwa uzima,,,,,,,karibu kwetu[emoji23]Mungu ajaalie one day tuonane dadaangu!!!
Nitafurahi sana sister.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karogwa huyu[emoji1787][emoji1787]Tulikuwa tunaambiwa ukimeza mbegu mti utaota tumboni, haya sasa kumbe kweli View attachment 1898849
Lala bc dada yangu, hata kama huna my wangu ww kumbatia hata godoro tuu, haya mambo ya kukesha tuachie sisi tulioachwa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1899013
Mie nitakuja huko kabla mwaka huu kuisha. Nitafurahi kukuona mama Kanyama!!Usijali,kikubwa uzima,,,,,,,karibu kwetu[emoji23]
Pole kwakuachwa,kwani kaondoka na godoro au??Lala bc dada yangu, hata kama huna my wangu ww kumbatia hata godoro tuu, haya mambo ya kukesha tuachie sisi tulioachwa
Karibu sana,karibu kwetu,Mie nitakuja huko kabla mwaka huu kuisha. Nitafurahi kukuona mama Kanyama!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa.