Nawew hao wanaume usilinganishe na wanaume wote[emoji38]Unaambiwa kutoa ni moyo[emoji173],mtu ukiwa na moyo wa utoaji,kusaidia inapendeza sana,
Sass bana kuna ata hao wanaume baadhi kuila hela yake ipo kazi[emoji16],
sasa wewe hao wanawake baadhi uliokutana nao hao wabahili,usijumlishe wanawake wote[emoji23]
Sema Yule mwanaume[emoji2902][emoji2902][emoji2902]Nawew hao wanaume usilinganishe na wanaume wote[emoji38]
Japo yawezekana wangezaa wote watoto wangekua 9[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hah ah hahaha[emoji23]View attachment 1899294