Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mtuwacheeee !!!Vinamakusudi hivi[emoji23]View attachment 1898836
Mtuwacheeee !!!Vinamakusudi hivi[emoji23]View attachment 1898836
Mbona nyie hata hizo vocha hamtununulii na wala hatulalamikiMuwe munaangalia na wanaume wa kuzaa nao,,,mwaume anakununulia vocha tu,huyo mtoto atakula BANDO[emoji23][emoji23]
Wewe na ugali tena[emoji23],nimekuchokoza kusudi babu yangu[emoji16]Bondo la boarding hili acha kusingizia Wasukuma [emoji51][emoji51][emoji51]
Ushawahi kuomba vocha na ukanyimwa??Mbona nyie hata hizo vocha hamtununulii na wala hatulalamiki
Unapata mtu kila siku anakuomba vocha, mimi naanzaje kumuomba yeye!Ushawahi kuomba vocha na ukanyimwa??
MmmhTulikuwa tunaambiwa ukimeza mbegu mti utaota tumboni, haya sasa kumbe kweli View attachment 1898849
Kuna......nilikuwa simuombi vocha yaani kazi yangu kusema tu mwezi unaisha bando[emoji3],ananiunga[emoji3]Unapata mtu kila siku anakuomba vocha, mimi naanzaje kumuomba yeye!
Mwenyekiti wa Kikoba cha akina mama Afghanistan akisubiri wajumbe wake[emoji28]
Sana,urithi,yaani niseme ka ukoo. Ketu,upande wa mama asilimia kubwa wanahayo mnaita madimpo[emoji87][emoji87][emoji87]