Nilimwaga juu!![emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unashangaa nini?
View attachment 1898756
Ila mpaka mwanamke afikie hatua ya kukukomandi hivyo,ujue na mwanaume ushakua fala mpaka basi.
Bendera yetu,yapepea Tanzania
Shindwa pepo!!!Asubuhi hauendi shule??
Sijui nakuonaje[emoji3064]nakuona kama dogo dogo[emoji16],sijui kwanini[emoji23]
Eeh,mimi ni dogo kinyama!!Sijui nakuonaje[emoji3064]nakuona kama dogo dogo[emoji16],sijui kwanini[emoji23]