Clarence Seedorf
Senior Member
- Sep 29, 2019
- 174
- 1,884
Namuonea huruma,maana ana swagga balaa,anatumia nguvu nyingi,na hivi nikimuambia apite hiviiii atakuwa mdogo[emoji23]Hebu mtag kabisa mwambie hapahapa asikusumbue[emoji16][emoji16]
Alaaa[emoji16][emoji16], uje huku nikupe asali maana hata sukari nayo sio nzuriNamuonea huruma,maana ana swagga balaa,anatumia nguvu nyingi,na hivi nikimuambia apite hiviiii atakuwa mdogo[emoji23]
Apambane aende malindi au uvinza
Mie sukari bhana[emoji41]
Mmoja tu[emoji1787]espy wewe una o wangapi ambao unawapanga?
Ewalaa!! Siku moja moja huwa unaelewa haraka sana.Yeye mwenye pesa atumikie mipango ya pesa na mimi nitumikie mipango ya faragha Mandingo style. Hapo sawa kabisa aisee [emoji122][emoji122][emoji122][emoji8][emoji8][emoji8][emoji39][emoji39]
ahaa kumbe mpango wa kando unaye mmoja tu. basi sawaMmoja tu[emoji1787]
Sina mpango wa kando bwanaahaa kumbe mpango wa kando unaye mmoja tu. basi sawa
Sina mpango wa kando bwana!ahaa kumbe mpango wa kando unaye mmoja tu. basi sawa