Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwalimu wangu wa michezo TTC Korogwe
IMG-20210819-WA0101.jpg
 
Mjukuu nisikilize vizuri kwenye hii ishu. Usiponisikiliza utajuta.

Kimbilia kwenye pdf. Huko angalau kuna staha na mapigo ya kimya kimya. Huyu baharia anayetamba hadharani kuwa ni bingwa wa kuzama uvinzani kwa kweli hapana. Utakwenda kuzamiwa chumvini mpaka chumvi yote ikuishe. Na bila chumvi huwezi kuwa na mishipa imara na mifumo mingi mwilini haitofanya kazi. Kimbia mjukuu wangu kimbia. Hata PM usimkaribishe kabisa.

Ni hayo tu kwa sasa 🥱🥱🥱
mawardat Babu yako ana roho mbaya kama shati la mpishi wa sumu!
 
Ngoja tumwite hapa aje na jibu!
mawardat
Kati ya Emiir Bey na Taavid chagua mmoja!
Kama ni Emiir Bey weka like na kama ni Taavid comment
Leo ndiyo nitajua kama nina mjukuu anayenisikiliza ama la! Akikimbilia kwenye chumvi na kuacha pdf (elimu) nitashangaa sana. Na inawezekana nitamsusa kabisa na kumtenga mimi na ukoo wote. Ujukuu na ubabu waweza koma leo hii hii dadeki

Mjukuu njoo ukate mzizi wa fitina huku nijue moja.
 
Back
Top Bottom