Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,891
- 122,773
Zimefanana na hostel za udom, nkajua tayari hukoooooooKama ndoa sawa[emoji41]View attachment 1898075
Zimefanana na hostel za udom, nkajua tayari hukoooooooKama ndoa sawa[emoji41]View attachment 1898075
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huyo kijana atakuharibia mjukuuMjukuu nisikilize vizuri kwenye hii ishu. Usiponisikiliza utajuta.
Kimbilia kwenye pdf. Huko angalau kuna staha na mapigo ya kimya kimya. Huyu baharia anayetamba hadharani kuwa ni bingwa wa kuzama uvinzani kwa kweli hapana. Utakwenda kuzamiwa chumvini mpaka chumvi yote ikuishe. Na bila chumvi huwezi kuwa na mishipa imara na mifumo mingi mwilini haitofanya kazi. Kimbia mjukuu wangu kimbia. Hata PM usimkaribishe kabisa.
Ni hayo tu kwa sasa [emoji2219][emoji2219][emoji2219]🥱🥱🥱[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Nakupigia chapuo nawe basi usiniangushe na mapdf yako yasiyo na kichwa wala miguu. Ukisaidiwa saidika kha! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huyo kijana atakuharibia mjukuu
Ujumbe ushamfikia huko aliko[emoji16]Mwambie atulie
[emoji16][emoji16][emoji16]nishafanya yangu babuNakupigia chapuo nawe basi usiniangushe na mapdf yako yasiyo na kichwa wala miguu. Ukisaidiwa saidika kha! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Unacho[emoji16][emoji1550]Na kichongeo[emoji16]
Bole dana dugu yagu[emoji1787]Jabani leo bafua Yabenibana
Alidhani ni vidimbwi kama vile vya beachWatu na dimpozi zao...
View attachment 1898072