[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wanasubiri mijimama iliyojichokea iwalee, msingi kiuno ndiyo fani pekee wanayoitegemea.Vijana mnakwama wapiView attachment 1896649
Tutake radhi, huyo shostito hayuko kwenye kundi la wanaume.
Nimekupenda sana kama wewe ndo huyo hapo shamba!!!!Mom....we mjinga unakula au unachart??
Me....nakula mom
Mom....leo hakuna kurudi hadi kazi iishe
Me....oooh ikifika saa kumi,naamsha[emoji34]
View attachment 1896728
Aisee safi sana. Nataka sana kulima aisee. Itabidi unikaribishe huko mamaa!!Ndio mwenyewe mawardat[emoji7]View attachment 1896926
Ukipata location nitonye. Karibu nitauza nyanya na dengu zangu [emoji123]
Nimekumbuka mambo ya kukaramshana mashuleni kipindi kile form two wanawanyanyasa form one wakija...
[emoji16][emoji16][emoji16]kiinua mgongo ndio kinapuputikaMstaafu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1896953
Mambo yapo sana shule za bweniNimekumbuka mambo ya kukaramshana mashuleni kipindi kile form two wanawanyanyasa form one wakija...