Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hiyo penso nimeipenda
Nakuzawadia buuree
Screenshot_20210819-132209.jpg


Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Teknolojia mpya ya kutumia mRNA iliyotumika kutengenezea chanjo za Korona (Pfizer na Moderna) italeta mabadiliko makubwa katika utengenezaji wa chanjo. Sasa inawezekana kutengeneza chanjo za UKIMWI, Malaria na hata baadhi ya kansa kwa haraka iwezekanavyo...

-5830335701533702415_121.jpg
 
Back
Top Bottom