Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Leo ndiyo nitajua kama nina mjukuu anayenisikiliza ama la! Akikimbilia kwenye chumvi na kuacha pdf (elimu) nitashangaa sana. Na inawezekana nitamsusa kabisa na kumtenga mimi na ukoo wote. Ujukuu na ubabu waweza koma leo hii hii dadeki [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

Mjukuu njoo ukate mzizi wa fitina huku nijue moja.
Abee babu nishafika[emoji23]
 
IMG-20210819-WA0104.jpg
 
Back
Top Bottom