Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,779
- 147,020
Umefrahi mwenyewe,binamu ajambo,yule wa kuoga sembe[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marahaba ankali wangu
Umefrahi mwenyewe,binamu ajambo,yule wa kuoga sembe[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marahaba ankali wangu
🤣🤣🤣Ni mzima wa afya tele.Leo ameniambia kuwa anataka akuone wewe binamu yake.Umefrahi mwenyewe,binamu ajambo,yule wa kuoga sembe[emoji23]
Anataka kunipa nini?? Najua hela hana,ana shikamoo tu[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mzima wa afya tele.Leo ameniambia kuwa anataka akuone wewe binamu yake.
Afadhali tupumzike [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] mi ni mnyaki.. unaweza kutania upendavyo Shimba.Mnyaki, mambo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(Samahani kama siyo Mnyaki. Nilishaapa kuwatania Wanyaki po pote na wakati wo wote. Nawapenda sana!)
Muendelee kutumika tu,maisha menyewe yako wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hujawahi ona mdada ana busha ankali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa siye wanawake ingekuwaje ankaliii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asiye!! Kwakweli kuwa mwangalifuNdio maana siruki hata nukta isije kuwa kweli
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Ankali,mie sijawahi ona,anakuwajekuwahe kwanza[emoji3060]Kwani hujawahi ona mdada ana busha ankali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe muda[emoji41]