Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Vi kitu vya mzee asali weka pembeni. Yaani viko weti na hot muda wote.Sina shida na vimbaumbau vya hivi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1897848
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utasikia"ninunulie Airtel ya mia tano unikute pale kwenye ile mgunga,ile shamba ndo nzuri mahindi yake ilipandwa na ng'ombe"....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Manyara jamani inaongoza kwa kuwa na wasichana wazuri.
Wasichana wa huko wana mvuto sana, halafu hawajuagi kusema hapana[emoji23][emoji23]
Under serious pressureMaana halisi ya "I can work under pressure".View attachment 1897657
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie atulie[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha kujichosha bro, mtoto kaelewa pdf saii tupo kwenye mipango mingine ya kifamilia! Unapoteza muda tu huko pm!
Kwa siye wanawake ingekuwaje ankaliii??[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1897708
Jamani watu wana majibu, sijui hata wanayatoleaga wap
Mnyaki, mambo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Jamani watu wana majibu, sijui hata wanayatoleaga wap
[emoji1787]...kabisaTena hapo ungekomaa ungeweza kumpiga huyo Msukuma ng'ombe kadhaa ili naye umjengee kama hiyo hapo kwake.
Huyu hanifai kabisa,maana mie sina chumvi,ninasukari tu hapa,tena ya keikei kijiko kimoja[emoji23]Mjukuu nisikilize vizuri kwenye hii ishu. Usiponisikiliza utajuta.
Kimbilia kwenye pdf. Huko angalau kuna staha na mapigo ya kimya kimya. Huyu baharia anayetamba hadharani kuwa ni bingwa wa kuzama uvinzani kwa kweli hapana. Utakwenda kuzamiwa chumvini mpaka chumvi yote ikuishe. Na bila chumvi huwezi kuwa na mishipa imara na mifumo mingi mwilini haitofanya kazi. Kimbia mjukuu wangu kimbia. Hata PM usimkaribishe kabisa.
Ni hayo tu kwa sasa [emoji2219][emoji2219][emoji2219]🥱🥱🥱[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Ankaliii,shikamooKiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Afghanistan[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1897773
Ndio maana siruki hata nukta isije kuwa kweli[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1897708