Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1590878989803.jpg
 
Aaaah waapi!!!! Wataka nianze ongelea nguru....
Binaadamu kitendo cha kufanya mapenzi ni kitendo adhimu ambacho hutumika kwa faida mbili na pia kitendo cha kusisimuana katika kufanya mapenzi wala hakujakatazwa, waweza msisimua mpenzi wako kwa kadri uwezavyo ilimradi usimwendee kinyume na pia usifanye vitendo hatarishi kwa afya yako, hivyo kuzama chumvini wala hakujakatazwa, isipokuwa uangalie na chumvini unakozama nako kuwe kusafi tu. Ili kujiepusha na kupata fangasi za koo au kula fangasi ambazo zitakuletea madhara tumboni.
Tofauti ya binadamu na wanyama kwenye ngono ni moja tu! Wanyama hufanya ngono kwa ajili ya uzazi lakini binaadamu kwa faida mbili.
1. Kwa ajili ya uzazi
2. Kwa ajili ya starehe
 
Binaadamu kitendo cha kufanya mapenzi ni kitendo adhimu ambacho hutumika kwa faida mbili na pia kitendo cha kusisimuana katika kufanya mapenzi wala hakujakatazwa, waweza msisimua mpenzi wako kwa kadri uwezavyo ilimradi usimwendee kinyume na pia usifanye vitendo hatarishi kwa afya yako, hivyo kuzama chumbini wala hakujakatazwa, isi pokuja uangalie na chumvini unakozana nako kuwe kusafi tu. Ili kujiepusha na kupata fangasi za koo au kula fangasi ambazo zitakuletea madhara tumboni.
Tofauti ya binadamu na wanyama kwenye ngono ni moja tu! Wanyama hufanya ngono kwa ajili ya uzazi lakini binaadamu kwa faida mbili.
1. Kwa ajili ya uzazi
2. Kwa ajili ya starehe
Ooooh kumbe,nimekuelewa
 
Back
Top Bottom